DiscoverSiha NjemaAfueni kwa wanawake wanaokatwa matiti yao kutokana na saratani
Afueni kwa wanawake wanaokatwa matiti yao kutokana na saratani

Afueni kwa wanawake wanaokatwa matiti yao kutokana na saratani

Update: 2025-11-02
Share

Description

Kila mwezi wa Oktoba, ulimwengu huadhimisha Mwezi wa Uhamasishaji wa Saratani ya Matiti, lengo kuu likiwa kuhamasisha vipimo vya mapema ili kupunguza hatari ya ugonjwa huu na kutafuta msaada wa kifedha kwa ajili ya utafiti kuhusu saratani ya matiti.

Inakadiriwa kuwa, wagonjwa wapya zaidi ya milioni 2.3 wa saratani ya matiti hugunduliwa kila mwaka, kulingana na takwimu za Shirika la Afya Duniani.

Wengi wa wanawake waliopatwa na saratani hii walilalzimika kukatawa titi moja au yote mawili ili kuokoa maisha yao,  na hivyo kupoteza kiungo muhimu cha mwili.

Comments 
In Channel
loading
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Afueni kwa wanawake wanaokatwa matiti yao kutokana na saratani

Afueni kwa wanawake wanaokatwa matiti yao kutokana na saratani

RFI Kiswahili