DiscoverSiha NjemaSiha Njema: Nini kifanyike kuwezesha Mipango ya bima ya afya barani Afrika
Siha Njema: Nini kifanyike  kuwezesha Mipango ya  bima ya afya barani  Afrika

Siha Njema: Nini kifanyike kuwezesha Mipango ya bima ya afya barani Afrika

Update: 2025-09-09
Share

Description

Juhudi za serikali za Afrika kuja na mikakati ya kutoa huduma za afya kwa raia kupitia mipango ya bima ya afya ya kitaifa zimekabiliwa na changamoto za utekelezaji,ufisadi na mifumo isiyo thabiti.

Watalaam wa afya sasa wanapendekeza mipango hiyo ya afya iwe kwenye mipango ya kitaifa ya kila mwaka,ikiwa na mwongozi kamili kuhusu huduma gani serikali itatoa kwa raia na kwa kiasi gani.

Aidha watalaam wanashauri mipango hiyo iwe inaendana na mahitaji ya kila jamii kwa kuwa serikali nyingi kwa sasa hazina uwezo wa kutoa huduma zote kwa raia

Isitoshe,mifumo inyopunguza uvujaji wa raslimali  za umma ni muhimu

Comments 
In Channel
loading
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Siha Njema: Nini kifanyike  kuwezesha Mipango ya  bima ya afya barani  Afrika

Siha Njema: Nini kifanyike kuwezesha Mipango ya bima ya afya barani Afrika

RFI Kiswahili