DiscoverSiha NjemaKabla kuchagua,kununua mafuta ya kupikia ,zingatia mambo hayo
Kabla kuchagua,kununua mafuta ya kupikia ,zingatia  mambo hayo

Kabla kuchagua,kununua mafuta ya kupikia ,zingatia mambo hayo

Update: 2025-10-30
Share

Description

Mafuta ya mzeituni, alizeti, mafuta ya nazi,mafuta ya mawese ni baadhi ya mafuta kula ambayo yanapendekezwa kutokana na namna yanavyotengenezwa. Mengi hutengenezwa  kwa kukamuliwa ,bila kuongezwa kemikali bila kutumia joto,hivyo ubora wake ni wa juu.

 

Mafuta haya hata hivyo ni ya bei juu sana na watalaam wanashauri badala ya kuchagua mafuta ambayo si mazuri na ambayo yanaweza kuongeza mafuta ya Cholesterol mwilini na kusababisha matatizo ya afya ,machaguo mbadala ni mafuta ya uto .

Mafuta haya yanaweza kutokana na mimea au mbegu.

 

Mfano ni mafuta ya Parachichi,Karanga  na hata Canola.

Aidha watalaam wanatoa tahadhari kuwa ukitumia mafuta yako kupika ,usipende kuyarudia au kutumia kwa zaidi ya mara moja  na usiyaweke mahali wazi maana yanayoweza kugeuka mabaya bila wewe kufahamu.

Comments 
In Channel
loading
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Kabla kuchagua,kununua mafuta ya kupikia ,zingatia  mambo hayo

Kabla kuchagua,kununua mafuta ya kupikia ,zingatia mambo hayo

RFI Kiswahili